LUCCI AMVALISHA PETE MCHUMBA WAKE - JOKETI ABAKI KUWA KAKA NA DADA

PRODUCER WA HIT NYINGI MJINI LUCI

Hivi sasa producer wa wimbo wa kaka dada ameamua kumvisha pete mpenzi
wake ambaye amekuwa mchumba wake rasmi.Cheki picha hapa na Lucci
akiongea na millardayo.com alisema,
“Baada ya mambo project ya Kaka Dada kukamilika nimeona ni muda muafaka kabisa kumvisha pete mpenzi wangu Lisa Semgeliwa au marafiki zake huwa wanamuita Lizzyblazzer. Unajua like seriously tumekuwa kwenye dating kwa muda zaidi ya miaka 2. Muda huo unatosha kabisa naamini ni vizuri kuingia kwenye hatua nyingine ya mahusiano yetu” .

SERENGETI FIESTA MOROGORO ILIKUA HIVI JANA USIKU

SHILOLE KAZINI NA SHABIKI YAKE WAKIMALIZA STEJINI

CHEGE CHIGUNDA NA MH . TEMBA TOKA TMK WANAUME

CHEMBER SQUAD WALIMALIZA SHUGHULI HAPA

DIAMOND NA NAY WA MITEGO WAKISHAMBULIA JUKWAA
STUDIO YA KIRI RECORD MPYA HII HAPA NA PRODUCER MPYA RASHDON
MUONEKANO WA STUDIO SASA HIVI
PRODUCER MPYA WA KIRI RECORD