calvinpaul131@yahoo.com

Tuesday, September 18, 2012

Tuesday, September 18, 2012

BAGHDAD AVUKA BODA.

Msanii aliezuiliwa kufanya show, kupiga intaview, wala kolabo ili kupisha muda wa kuanda ngoma ambazo yuko mbioni kuingia both beat produced by c.e.o wa chofacho rec studio iliyoko marekani ambae ndio inamsimamia msanii huyo kwa sasa imeamua kufungua website kwa ajili ya kuweka mambo yanayohusu mziki, maisha na harkati anazozifanya mbali na mziki, ukitaka kutembelea website ya msanii huyo tembelea 
www.baghdad 255.wordpress.com

Bakkle Time - Bulletproof Feat George P & Sevad ( Classic Dancehall)

Huyu ni msanii machachari katika ulimwengu wa Dance hall anakwenda kwa
jina la BULLETPROOF aka Dancehall master, ni mtanzania asilia
aliyemasomoni Nairobilakini anafanya Muziki wa Dancehall kwa kwa
inspired na Bounty Killer, Bay C wa T.O.K na hii ni ngoma yake akiwa
amemshirikisha  George P ambaye ni former member wa Gully Side chini
ya Movado , kwa sasa yeye ndio kiongozi wa kundi la Fagan Fraternity
linaloundwa na Flexx,Kibaki,Savage na K natural. Na wapili
kushirikishwa katika nyimbo hii ni Sevad ambaye yeye ni mwanamuziki wa
kujitegemea anayetamba na nyimbo yake iitwayo addicted kule Jamaica.
Bulletproof asema kuwa mwanzoni mwa mwezi wa kumi na moja mwaka huu
ataachia video yake ya Bakkle time itayofanywa nchini Nairobi na
Jamaica . Lakini yote kwa yote Bulletproof anakuja pia na REMIX ya
BAKKLETIME wakiwemo wasanii wengi toka Bongo,Kenya na Jamaica  kama
SICK AROAD na wengine wengi.
Isikilize ngoma ya Bakkle Time sasa na udownload: Its a Hot Club banger

CHECK IT ON hULK SHARE  http://hu.lk/eze6wseivnk0

STANBOI - EPK

Tanzania's own Stanboi "the African Child" is gearing up to release his debut project "Thoughts of an African Child" EP Vol 1 to be released at the beginning of October 2012. We have included Stanboi's EPK video to this email which is a brief overview into who Stanboi the artist is as well as some behind the scenes footage and insight on the upcoming EP.

Monday, September 17, 2012

NEW TRACK: Tanah & Chibwa - Summer Time

Ngoma Mpya Kutoka Kundi la Tanch Linaloundwa na Wasaniii wawili Wakali wa Ragga...Chibwa na Tanah .
Production imefanywa chini ya De Fatality Studios chini ya Mesen Selekta Na Pia Unaweza Ukajiunga Nao kUpitia Ukurasa wa Facebook
https://www.facebook.com/pm.chibwa
https://www.facebook.com/tanah.wanje
Hii Ni ngoma ya Pili ya Kundi Hilo Ambalo Awali walitoa Ngoma Iliyojulikana kama Take It down ambayo ilifanya Vizuri kupitia Vituo vya redio na Tv... Ujio Mpya Huu Hapa KJipatie Kwa Ku downLoad free

Usaili video ya Diamond Nyumbani Lounge

Nyumbani Lounge

USAILI wa wanamitindo na wachezaji watakaonekana kwenye video mpya ya msanii wa Kimataifa wa Tanzania, Naseeb Abdul ‘Diamond Platnumz’ unatarajiwa kufanyika katika ukumbi wa Nyumbani Lounge, Kinondoni, Dar es Salaam.
Akizungumza mjini Dar es Salaam, Mkurugenzi wa Kampuni One Touch Solutions, Petter Mwendapole amesema wamechagua Nyumbani Lounge kwa kuwa ni rahisi kufikika na watu wengi kwa urahisi.
“Mchujo wa wale watakaotaka kushiriki kwenye video hiyo mpya ya Diamond Platnumz itafanyika nyumbani, kuna mambo mengi pia yamechangia katika kufanya usaili huo Nyumbani.
“Nyumbani lounge inamilikiwa na msanii mwingine wa kimataifa wa Tanzania Judith Wambura Mbibo ‘Lady Jaydee’, na huyu ni msanii wa kwanza kuweza kusimama mwenyewe na kujitegemea, mchango wake ni mkubwa katika ulimwengu wa muziki wa kizazi kipya Tanzania, wanaohitajika kuja kwenye usaili pia tunatarajia watakuja kujitegemea kwa kuafata nyayo za JD,” alisema.

Mwendapole alisema, uongozi wa Nyumbani Lounge chini ya Mkurugenzi wake Gadner G Habash ulipopewa wazo la kufanyika usaili huo hawakusita na walipokea kwa mikono miwili na kuahidi kushirikiana na timu nzima ya Diamond katika kuhakikisha usaili huo unafanikiwa.

Mkurugenzi huyo pia alisema watu wengi wamekuwa wakiuliza maswali kuhusu malipo na vigezo ambavyo vitatumika katika kuwapata watu watakaoshiriki kwenye usaili huo ambapo alieleza kuwa watakaochaguliwa watalipwa na ndio maana kumewekwa usaili.
“Wote watakaochaguliwa kuonekana kwenye video hiyo watalipwa, mpango wa Diamond ni kutengeneza ajira kwa watu wengine si kuuza sura kama watu wengi wanavyowaita wale wanaonekana kwenye video, vigezo pale kutakuwa wabunifu wa mitindo ambao wamesomea kazi zao, kutakuwa na walimu wa muziki, kutakuwa na watu ambao wamesomea mambo ya uongozaji wa picha na kurekodi, hii timu itaangalia vitu vingi kupata washindi,” alisema.

Alisema washiriki wanatakiwa kuja na nguo za kuogelea, kutokea, ambapo pia kutakuwa na Red Carpet. Hii ni mara ya kwanza kwa watu wanaotakiwa kuonekana kwenye video kufanyiwa usaili.

DITTO ANAOMBA KURA ZETU WATANZANIA KWENYE TUZO ZA DISCOVERIES 2012.

Nyota wa kizazi kipya anayejulikana kwa jina la Lameck Ditto kutoka hapa bongo land Tanzania amechanguliwa katika kuwania tuzo za Radio France International Discoveries ambazo zitakuwa zinatolewa nchini France.katika tuzo hizi wasanii kumi kutoka Africa wamechanguliwa katika kuwania tuzo hizi na Ditto naye ni moja kati ya wasanii ambao wametajwa katika list ya wasanii ambao watashiriki katika kuwania tuzo za Radio France Intenational Discoveries.Kama mshindi akipatikana katika tuzo hizo za Radio France International basi atajipatia Euro elfu kumi na mkataba  wa kufanya  show live katika nchi 18 Duniani.Kwa hiyo tuna mtakia ushindi katika tuzo hizi za Radio France International

Bonyeza hapa chini kuingia kwenye site ya kumpigia kura

Samiratha's Sheesha Grand Opening at GIRAFFE OCEN VIEW HOTEL.

Kwa wale wapenzi wa kuvuta Sheesha kuanzia leo ukiwa ufukweni maeneo ya Mbezi Beach Giraffe Ocen View Hotel utaweza kupata sheesh yako ambapo kuna zenye ladha tofauti tofauti  kama MINT, GRAPE, DUBLE APPLE, BUBLE GUM, PICH and STARW BERRY

hawa ni moja kati ya marafiki wa Samiratha waliofika leo kumuunga mkono rafiki yao.

 Fide na Samiratha

 Ally Kiba naye alipita na kuvuta Sheesha kidogo maana huyu jamaa ni mpenzi mkubwa wa Sheesha akiwa kwenye mapumziko yake.

 Samiratha na DJ Choka

 Cheers

 Fide, Samiratha and DVJ Penny

Saturday, September 15, 2012

ZIJUE NYIMBO KUMI BORA KUTOKA AFRICA MASHARIKI

Hizi ni Kumi Bora za East Africa zinazoletwa kwenu DJ BRYHO kutoka PiliPili FM, kila siku ya Jumamosi nitakuwa nawaletea Kumi bora hizi na wasanii kutoka Tanzania mnaambiwa mnaweza kutuma nyimbo zenu ili ziweze kupigwa pale Mombasa na kuingia katika Kumi Bora za Africa Mashariki, tuma sasa wimbo wako katika email hii ya DJ Bryho ambayo ni evusa@pilipilifm.com au briarth@gmail.com

Sikiliza Pilipili FM online

The Dream Unit ft. Catrina - Hali ni Tete {Official Video}

WATAMBUE WASANII WALIOPATA BAHATI YA KUTEMBELEA PILIPILI FM MOMBASA-KENYA

Msanii Collo aka King wa Rap kutoka Nairobi yeye pia alipata bahati yakupita Pilipili FM 

Jua Kali msanii kutoka Nairobi

Offside Trick kutoka Zanzibar Tanzania nao walishawahi kupita Pilipili FM

 Muonekano wa ndani ya Pilipili FM

Sam wa Ukweli kutoka Dar es Salaam 

TINAH NA DJ BRYOH hawa ni watangazaji wa Pilipili FM kipindi cha X6 Alasiri kila siku saa kumi hadi saa moja usiku. Halafu DJ Brayo utampata tena kwenye kipindi cha KUMI BORA kila Jumamosi saa nne hadi saa saba mchana

Bryoh, Chege, Dogo Asley, Mh Temba na Tinah 

 Ukoo Flani Mau Mau kutoka Nairobi 

Z-Anto kutoka Tanzania alipata nafasi yakupita Pilipili FM

Hii ilikuwa siku ya ufunguzi wa radio hiyo ya Pilipili FM

For more info visit www.pilipilifm.com

Mc Josey ft Dulayo - Zamani {Official Video}

Fidstyle Friday: Week 23 with Rage

Dogo FM ft Boy Kitila - Machungu {Official Video}

DIAMOND PLATNUM MUSIC VIDEO AUDITION at NYUMBANI LOUNGE

Hii ndio maana ya neno BADO NGWARE "G-NAKO"

Pichani: G-Nako & Nikki wa Pili
Msanii kutoka kundi la Weusi G-Nako ametiririka na Bongo Star Link na kusema maana ya neno BADO NGWARE ambapo jina hili amelitumia katika track zake mbili ile ya kwanza aliyomshirikisha Peter Msechu na hii rmx ambayo kamshirikisha Nikki wa Pili. 
G-Nako anasema maana ya neno hilo ni BADO MAPEMA na kama unataka kujua maneno yaliyosemwa humo ndani isikilize track hii ambayo ni remix

DOGO JANJA ATIMIZA MIAKA 18 LEO

Leo ni siku ya kuzaliwa Dogo Janja msanii kutoka Mtanashati Ent, anasema anajisikia poa sana kutimiza miaka 18 leo na kuingia step nyingine ya maisha.

QUOTES OF THE DAY KUTOKA UTENGWANI...

PIPI AJIFUNGUA MTOTO WA KIUME

Msanii anayetamba na video yake mpya inayoitwa UNAPOKUWA MBALI hapa namzungumzia PIPI jana usiku alijifungua mtoto wa kiume na kumpa jina la KINGSTONE. Wakati nachat nae mida hii akiwa hospital aliniambia anajisikia mtu mwenye furaha sana kwa sababu kwa sasa anaitwa MAMA. 

Na nilipopita kwenye ukurasa wake wa Facebook nilikuta kaandika man

FILAMU MPYA YA CHOCOLATE INAKUJIA HIVI KARIBUNI. CHOCOLATE FILM COMING SOON!!

FILAMU MPYA YA HOUSE MAID KUINGIA SOKONI JULAI 2012

FILAMU KALI YA KITANZANIA-RUDE ILIYOSHEHENI WASANII WAKALI. FILAMU IMEANDALIWA NA JENNIFER KYAKA

Monday, September 10, 2012

NDOA YA MTITU YAGHARIMU 25 MIL

 William Mtitu.

MSANII wa kiwanda cha filamu Bongo, William Mtitu anayetarajia kufunga ndoa Jumamosi ijayo, ametoa ripoti kuwa, bajeti ya harusi yake itakula kiasi cha  Sh. milioni 25 za Kitanzania.
Akichezesha taya na paparazi wetu, jana Jumatano jijini Dar, Mtitu alisema mpaka sasa kamati ya harusi yake imefanikiwa kukusanya mkononi Sh. milioni 16 huku watu mbalimbali wakiendelea kuahidi na kutoa.
Alisema ndoa yake hiyo itakayofungwa katika katika Kanisa la Mtakatifu Joseph lililopo Posta, Dar, itafuatiwa na sherehe ya kukata na mundu kwenye Ukumbi wa Urafiki-Ubungo ambapo mavazi yatakayovaliwa na waalikwa ni ya kawaida.

SINTAH NI MENEJA MPYA WA CHIDY BEENZ

List ya managers wanaowasimamia wasanii wa bongo flava inazidi kuongezeka baada ya Sintah kutagaza kum-sign Chidy Beenz kuwa chini yake.
Hatujui deal hilo lina thamani ya kiasi gani lakini inaonekana kama Chidy ameamua kutumia experience aliyoko nayo Sintah pamoja na elimu yake ili ku-boost his public image na mziki wake pia.
Education is power and that is why Chidy kawaacha wote na kunitafuta mimi, sasa mambo ndo yameanza“, alihollarSintah ambapo Chidi Beenz chini ya usimamizi wake atafanya show ya kwanza at New Maisha Club on 30 September.
Aliongeza kuwa Chidi Benz will be dressed by Kidoti Fashion which is owned by Jokate ambaye ndiye anayewavalisha maceleb kibao kwa sasa hapa nchini.

SNURA AJUTA 'KUMDISS' WEMA

MUDA mchache umepita tangu msanii wa filamu bongo, Snura, kutangaza kuachana na rafiki yake kipenzi Wema Sepetu, sasa anaonekana kujirudi na kudai kuwa kuna vitu ameanza kuvimisi kutoka kwa mwanadada huyo ingawa anaona aibu kumuomba msahama na arudi tena kundini.

Mtandao huu  
ulimtafuta Snura kuzungumzia kwa ufupi kuhusiana na urafiki wake wa awali na Wema, ndipo alipofunguka kuwa vipo vingi na anaona haya kumuomba msamaha ili arundi tena kundini kwani anaamini akifanya hivyo watu watapata la kusema.

“Kuna vitu nimevimisi kuvifanya ambavyo nilikuwa nafanya pindi nilipokuwa na Wema, nilikuwa na hamu ya kuzungumza naye lakini naona kama nitawapa watu ncha kusema kitu ambacho sioni kama ni kizuri kwa wakati huu,” 
alidai.

Hata hivyo mtandao huo ulitaka kujua ni vitu gani alivyovimisi kutoka kwa Wema ambavyo yeye mweneywe hawezi kuvifanya, na alidai kuwa kutoka usiku na kuingia sehemu viwanja vikubwa vikubwa vya starehe ambazo huingia watu wazito ni moja ya kitu ambacho anahisi atavikosa kwa muda mrefu.

JACK WA CHUZI NA JINI KABULA WAFUMWA NDIVYO SIVYO

Kwa muda mrefu waigizaji wa kike wa Bongo Movies, Jack Pentzel na Miriam Jolwa aka Jini Kabula wamekuwa wakisakamwa na skendo ya usagaji kutokana na picha iliyosambaa kwenye mtandao inayowaonesha wakibusiana.

Hata hivyo wote wameendelea kukanusha kutojihusisha na vitendo hivyo kwa kudai kuwa walikuwa kazini.

Akiongena na kipindi cha Tagz Weekly cha DTV, Jack amesema hana uhusiano wowote wa kimapenzi na Miriam kwakuwa zile ni picha zilizochukuliwa wakati wakishoot movie.

“Mi mwenyewe nimezisikia kama wewe ulivyozisikia, lakini ukweli ni kwamba mimi ni msanii, ni msanii wa filamu nafanya kazi za kuelimisha jamii, kwamba jamii ntaifundisha kwamba ifanye hivi ntaikosoa ifanye hivi.  

Kwahiyo zile ni picha ambazo zilipigwa wakati tupo location, na sio kwamba zile picha walizoziona wao ndio kile kitu sisi tulichokuwa tunakifanya. Sisi tulikuwa tunaigiza, hakuna uhalisia wowote wa kitu tulichokuwa tunakifanya”, alisema.

“Mimi nina mtu wangu, mimi nina mpenzi wangu, kwanza siwezi kuwa na mahusiano na mwanamke mwenzangu, kwasababu atanifanya nini mpaka mimi niridhike?”.Aliongeza

Kwa upande wake Miriam, naye alikanusha kuwa na uhusiano na mwanamke mwenzake na kusisitiza kile alichokisema mwenzie.

“Ni kweli hizo picha zipo, lakini sio kama namaanisha mimi na Jack Pentzel tulikuwa tunafanya huo uchafu. Hiyo ni movie tulikuwa tunacheza, mimi nilikuwa kama namuapproach Jack, yaani mimi ndio yule mwanamke msagaji halafu yeye ndio demu wangu. Na hiyo movie sijui kwanini inachelewa kutoka,” alisisitiza Miriam.

HEMED AND GELLY WA RHYMES NDANI YA TWO IDIOT

No doubt Comedy  is nowadays doing good here in Tanzania.
Kufuatia hili singer wa “Ninachotaka“, “Alcohol” ambaye pia signs zake ziko kwenye movies za “Green Light” na “Crazy Love” is read to team up with Gelly wa Rhymes to do  comedy.
Hemedy Suleiman aka Pretty Huge Dude, ambaye ni movie star ataungana na Gelly whose real name is George ambaye ni hit maker wa nyimbo za “Kikuku“, “I Love You” na “Barafu wa Moyo Wangu” kuingia location kwa ajili ya ku-shoot a their first romantic comedy movie to be called “Two Idiots“.
Ni kweli mimi na PHD tuko tayari kufanya movie ya comedy ambayo roughly ita-cost seven million kuitengeneza chini ya E Media Company“- Gellywa Rhymes told BK.
 Hemedy alipoulizwa utofauti wa movie hiyo yao ya comedy na comedy nyingine zilizopo hapa nchini this is what he said, “Wengi wamekuwa wakidhani kuwa comedy ni kukunya sura na kuanza kuigiza, but sisi tutatupia romantic issues na bado watu wacheke bila kulazimishwa“.
Project hii haitaishia hapa kwani baada ya Two Idiots tuna mipango ya kuanza kuvuka borders na kwenda kutafuta comedians wa kimataifa ili kuipeleka sector hii anga a mbele zaidi“-Hemedy.

Sunday, September 2, 2012

"BONGO MOVIE IMENIFUNDISHA UHUNI. NILIPOKUWA KIJIJINI SIKUWA HIVI"....RECHO

MSANII anayetokea mkoani Ruvuma ambaye kwa sasa a ametengeneza jina kupitia tasnia ya filamu Rachel Haule ‘Recho’, amebainisha kuwa tasnia hiyo ndiyo iliyombandilisha kimavazi tofauti na alipokuwa anatoka kijijini kwao Songea.

Mwandishi wa mtandao huu alitaka kujua anazungumzia vipi juu ya skendo kadhaa zilizokuwa zinaelekezwa kwake kuwa anavaa mavazi ya kichokozi, ambapo alidai kuwa baada ya kuingia mjini kitambo kidogo alijikuta akitekwa na mji lakini alikuja kucharuka zaidi baada ya kuanza kujuana na wasanii wa bongo muvi ambao mara zote walimshauri kuvaa nguo fupi ili kuleta mvuto zaidi.

Aliongeza kuwa inawezekana yeye akajiona hana matatizo lakini kwa sababu tasnia hiyo ya bongo muvi inaonekana kuwa na matatizo mengi basi hata yeye watu wanamuona ana matatizo hayo ya watu wengine na hawezi kukataa kwa sababu tayari yupo kwenye chungu hicho kimoja.

“Si kwamba nilitaka kuharibiwa hapana yani nilijikuta tu napenda kuvaa mavazi ambao rafiki zangu wanavaa na kadri siku zilivyokuwa zinaenda nilizidi kuzoea” alisema.

Hata hivyo msanii huyo kwa upande wa filamu alidai kuwa zimeweza kumtangaza kwa namna moja ama nyingine na anaamini ataweza kufika mbali zaidi na kujitangaza kimataifa.

Source mpekuz

DUDE AKANA KUONEKANA KWA MGANGA TANGA

Kulwa Kikumba ‘Dude’.

STAA wa filamu za Bongo, Kulwa Kikumba ‘Dude’, hivi karibuni alionekana kwa mganga, Pangani Tanga ambako inadaiwa alikwenda kwa ajili ya kurejesha mali zake zilizoibwa.
Dude alipotafutwa kwa njia ya simu na kupatikana alikuwa na haya ya kusema:
 “Mh! Nyie ni wambeya sana, mimi nimekuja Tanga kwa shughuli zangu za kikazi, hayo mengine ni kama ziada tu.”

JOKATE AMPONDA SNURA KWA KUJIFANYA MPAMBE WA WEMA SEPETU

MWANAMITINDO maarufu nchini Jokate Mwengelo, amedai kuwa msanii Snura asijifanye kuwa ameacha urafiki na best yake wa karibu Wema Sepetu kwani awali alikuwa kama mpambe ambaye alisahau kufanya kazi zake kwa kushindwa kusoma alama za nyakati.

Snura
 amefunguka hivi karibuni na kudai kuwa eti ameamua kuachana na Wema Sepetu kwa madai kuwa alikuwa anakosa muda wa kufanya kazi zake, na badala yake muda mwingi alikuwa akifanya biashara za Wema huku akiwa
kama amsimamizi, na kazi zake zikiwa hazifananikiwi na kusonga mbele.

Jokate
 alipotafutwa na mwandishi wa mtandao huu ili kutoa kauli yake juu ya Snura kuachana na best yake wa karibu Wema, alidai kuwa kikubwa alichoharibu Snura ni kujifanya mpambe kwani alishindwa kufanya ishu zake badala yake alijiona kama mpambe wa Wema kwa kumfuata kokote anapokuwa.

“Unajua Snura alikuwa kama mpambe wa Wema na alishindwa kusoma alama za nyakati na sasa anadai kuwa ameachana na Wema amepoteza muda kweli mi sioni kama atakuwa ni mkweli zaidi ya uongo alionao,” 
alidai.

Source: Vituko vya Mtaa

Thursday, August 30, 2012

IMEVUJA SNURA AMWAGA UGALI, WEMA AMWAGA MBOGA

 KUKIWA hakujapoa vizuri baada ya ushoga wao kuvunjika, mwigizaji wa sinema Bongo, Snura Mushi hivi karibuni alifanya mahojiano katika Runing a ya EATV, Kipindi cha Hot Mix ambapo alianza dalili za kumvua Miss Tanzania 2006 na staa wa sinema za Bongo, Wema Sepetu ambaye aliwahi kuwa shosti wake mkubwa.
Kwa mujibu wa macho ya mashuhuda, Snura alisisitiza kuwa, ana siri nzito za Wema na siku akiamua kuzianika, basi mrembo huyo hatakatiza mitaani kwa aibu.
Kwa maneno ya Snura, kila aliyetazama kipindi kile alisema hata kama mcheza filamu huyo hakuzitaja moja kwa moja siri za mwenzake, lakini kila mtu anajua Wema anatembea na aibu yake.
“Sasa kama Snura hakutaka kuzitaja hizo siri, kusema vile tu si tayari ameshamuumbua mwenzake, kila mtu anajua Wema ana mambo mabaya,” alisema Nice, mdada anayemiliki saluni moja iliyopo Kijitonyama, Dar.
Kama hiyo haitoshi, tayari Snura yupo kwenye mchakato wa kuandaa filamu inayoitwa Uozo wa Super Star ambayo ndani yake ni Wema mwanzo mwisho. Filamu hiyo inaandaliwa na Kampuni ya Chuz Entertainment ya Tuesday Kihangala ‘Chuz’.
Habari nyingine zinadai kuwa mara baada ya kumwagana na Wema, Snura kwa sasa amejipeleka kwa Chuz ambako ameigiza baadhi ya ‘sini’ kwenye Tamthiliya ya Jumba la Dhahabu ambayo inaingia mtaani hivi karibuni.
WEMA AMTAHADHARISHA SNURA
Wakati Snura akiwa na mengi ya moyoni, kwa upande wake, Wema alitoa msemo wa Wahenga akimwambia Snura, Kimya Kingi Kina Mshindo.
Alimtaka Snura anyamaze na afute nia yake kwani yeye akianza kuzungumza ya kwake anaamini Snura hataweza hata kutembea mitaani.
“Nayasikia mengi sana anayozungumza Snura lakini mi ni muungwana, asinione nipo kimya. Nikiamua kufunguka sitaweza kusikia la mnadi swala wala la muadhini.
“Hakuna mtu asiyejua kama mimi ndiye nilikuwa naendesha maisha yake kama mke wangu. Kila nguo nzuri anayoivaa kwa sasa au pochi anayobeba ni fedha zangu. Namuomba kabisa asinichokonoe,” alisema Wema.
Akaongeza: Nimeshamlipia kodi ya nyumba Snura, nimeshamsaidia kulipa ada ya mtoto wake, sasa ni kwa nini asiniheshimu?”

Wednesday, August 29, 2012

JENNIFER KYAKA [ODAMA] KUACHIA FILAMU MPYA - CHOCOLATE

Kampuni ya J-Film 4 Life chini ya Mkurugenzi Jennifer Kyaka (Odama) inapenda kukujuza kuwa mwezi Septemba 2012 itaachia filamu mpya ya Chocolate.

Mdau wangu naomba ukifika huo mwezi, wahi dukani na kununua filamu hii ambayo itakufanya uwe mtu wa tofauti kwa yale yaliyoigizwa. Tumekuelimisha, tumekufundisha, tumeadibisha na kukuburudisha.

J-Film 4 Life imehakikisha filamu ipo katika viwango vya kimataifa hasa sauti na video kwa ujumla.

Pata kuona hii trailer

GARI LA KUKODI LAMTOKEA PUANI JACK CHUZ

                     Jacqueline Pentzel ‘Jack Chuz’. Na Richard Bukos
MWIGIZAJI wa Kibongo, Jacqueline Pentzel ‘Jack Chuz’, amejikuta kwenye wakati mgumu baada ya kukodi gari aina ya Toyota Spacio lenye namba za usajili T 750 BPK na kushindwa kulipa.
Bongowood iliambiwa na aliyemkodishia kuwa Jack Chuz alipewa gari hilo alitumie kwa siku tano kwa makubaliano ya kulipa elfu 50 kwa siku lakini zilipomalizika, alilirudisha na nusu ya fedha hivyo anasakwa na polisi kwa jalada la kesi namba RB/CH/ 6031/2012 huku bidada akijitetea kuwa alikuwa amesafiri.

BLOGU YA VITUKO VYA MTAA YAFUNGUKA KUMZUNGUMZIA ODAMA

Source: http://vitukovyamtaa.blogspot.com/2012/08/mfahamu-jennifer-kyakaodama.html

MFAHAMU JENNIFER KYAKA(ODAMA)

Jina Kamili: Jennifer Kyaka
A.k.a: Odama
Fani : Uigizaji
Kuzaliwa: 1983
Alikozaliwa: Bugando, Mwanza
Umri: 29
Makazi: Kinondoni - Biafra, Dar
Ndoa: Hajaolewa
STAA hot cake katika tasnia ya filamu za Kibongo, Jennifer Kyaka ‘Odama’ ametokelezea kunako Hot 2 Hot na kuweka plain kuwa katika mafanikio aliyoyapata hakuna mkono wa mwanaume kama ilivyo kwa wasichana wengine mastaa wa mjini.
Odama alitiririka kuwa amekuwa akifanya kazi kwa bidii na kile anachokipata ndicho anachofanyia mambo yote ya maendeleo ambapo hadi unaposoma hapa, anamiliki kampuni yake ya filamu ya J-Film For Life, magari mawili na mjengo.
“Mafanikio yangu yametokana na kazi zangu mwenyewe na hakuna mkono wa mwanaume, sitaki iwe hivyo ‘coz’ ndiyo maisha niliyoyachagua ya kutomtegemea mtu kwani kile ninachokipata kwenye filamu zangu ndicho kinachonipa maendeleo haya,” alisema Odama.
Hata hivyo, mwanadashosti huyo alisema kwa sasa ana mchumba na anatarajia kufunga ndoa mwakani.

BABY MADAHA NA ISABELA WANASWA TENA

MATUKIO ‘hot’ ya wasanii wawili Bongo, mwigizaji ambaye pia ni mwana-Bongo Fleva, Baby Joseph Madaha na chipukizi wa filamu, Isabela Francis ‘Vai wa Ukweli’ yamedhihirisha wao ni sikio la kufa,
Hivi karibuni, Baby Madaha alinaswa na kamera yetu kwa mara nyingine tena akiwa hajitambui kwa kulewa chakari kwenye Baa ya Uhuru Peak, Kinondoni jijini Dar ikiwa ni mara ya ishirini kwa kipindi kifupi kukutwa katika hali hiyo.
Baby Madaha alipoulizwa kwa nini anapiga ulabu hadi anazima tena mbele ya meneja wake, Mercey Kayuni, alidai ni maisha yake binafsi hivyo aachwe na maisha yake.
Wakati Baby Madaha akishauriwa kuacha ulevi kwani utampeleka pabaya, katika misele ya Ijumaa Wikienda akanaswa Isabela kwenye Ukumbi wa Dar West, Tabata jijini Dar kwa mara nyingine akifanya uchafu hadharani, yaani mambo ya chumbani akiwa na mwanaume aliyetajwa kwa jina moja la Bonny.
Isabela alipobanwa kuhusu kujilegeza kwa midume hakuwa na la kusema zaidi ya kuonekana kutojielewa.

AUNT LULU AIKIMBIA BONGO KUKWEPA MANENO

Lulu Mathias Semagongo ‘Aunt Lulu’.
KATIKA hali ya kushangaza, Mtangazaji maarufu Bongo, Lulu Mathias Semagongo ‘Aunt Lulu’ amefunguka kuwa atatimka nchini kwenda kuishi kusikojulikana.

Akizungumza na mwandishi  wetu  jijini Dar, Aunt Lulu alifunguka kuwa ameamua kukimbia mji kwani amechoshwa na manenomaneno ya walimwengu jijini.

“Nimechoshwa kwa kweli na kwa kuwa mipango yangu ya kuchomoka imetimia, acha nitimke Bango angalau nikapumzike kidogo nje ya hapa,” 
alisema Aunt Lulu pasipo kutaja anakotimkia.

GENEVIEVE ARINGISHIA PETE YA UCHUMBA; KUFUNGA NDOA HIVI KARIBUNI?

Muigizaji wa kike mwenye mafanikio na anayetafutwa zaidi na watayarishaji wa filamu nchini Nigeria, Genevieve Nnaji huenda hivi karibuni akavaa shela ya harusi na kusema ‘I DO’.
Ripoti kutoka nchini Nigeria, zimesema kuwa muigizaji huyo na mama wa mtoto mmoja ameshachumbiwa na amekuwa akijionesha kwa watu kuwa muda si mrefu atakuwa mke wa mtu.
Kwenye akaunti yake ya twitter hivi karibuni aliweka picha inayomwonesha akiwa na pete ya uchumba na kuandika maneno yasemayo “kisses especially for U”
Kutokana na picha hiyo, mitandao mingi ya Nigeria imehitimisha kwa kusema kuwa tayari amechumbiwa.
Baadaye Genevieve aliandika kufafanua kuhusu picha hiyo iliyopo kwenye mtandao wa Instagram akisema, “I wear that ring on my right so people won’t think anything of it. But I guess I’m on my own there. Lol!!”

KAJA NA LULU WAKUTWA NA VIPODOZI GEREZANI

MASTAA wawili wa filamu za Kibongo walioko lupango kwa tuhuma tofauti, Kajala Masanja na Elizabeth Michael ‘Lulu’ wamedaiwa kupekuliwa na askari magereza na kukutwa na vipodozi katika Gereza la Segerea, Dar es Salaam,
Kwa mujibu wa chanzo cha ndani ya gereza hilo, mastaa hao walipekuliwa Agosti 25, mwaka huu na kukutwa na baadhi ya vipodozi ambavyo haviruhusiwi kuingizwa gerezani humo.
“Lilikuwa ni zoezi la ghafla ambalo baada ya kufanyika Lulu na Kajala walikutwa na losheni wanazozitumia,” kilisema chanzo hicho.
Chanzo hicho kilizidi kuweka bayana kuwa, mastaa hao ni warembo ambao wamezoe kila wakati kujiweka ‘sopusopu’, hivyo askari magereza walihisi watakuwa na vitu hivyo ukizingatia hivi sasa Kajala anazidi kupendeza pamoja na kwamba yupo gerezani.
“Vipodozi vile vilichukuliwa na wao kupewa onyo kwamba wasirudie kuviingiza tena gerezani la sivyo yatawapata makubwa zaidi,” kilimalizia chanzo chetu hicho.

Monday, August 27, 2012

MUIGIZAJI WA NIGERIA, TONTO DIKEH AFUNGULIWA KUPITIA EMMANUEL TV

Muigizaji wa Nollywood, Toto Diken alisema katika mahojiana kutoka na kuokolewa kwa kuacha kuvuta sigara baada ya kuomba pamoja na TB Joshua kwa kupitia Emmanuel TV. Kutokana na Tonto ambaye alianza kuvuta sigara akiwa na umri wa miaka 13, alijiunga na Nabii TB Joshua katika maombi kwa kupitia Emmanuel TV na alipokea muujiza wake katika hali ambayo hakutegemea.

Aliliambia gazeti la Burudani la Nigeria, "Nilikuwa sivuti sigara mwenyewe, Nilikuwa naangalia kipindi katika TV cha Nabii TB Joshua na alikuwa amenyoosha mikono kwa watu huku akiwaobea. Huwa napenda kuangalia vipindi vyake katika Emmanuel TV. Alipokuwa akiomba, alisema, 'Nyoosha mikono yako katika T' nikanyoosha mikono yangu siku hiyo. Hasa nilikuwa nahitaji kitu kingine kutoka kwa Mungu, na sio kuvuta sigara kwasababu napenda kuvuta! Baada ya maombi nilikaa nilipokuwa nimekaa na nikajisikia kulala usingizi. "Baada ya maombi Tonto aliamka na akajisikia kuvuta kama kawaida yake, kitu cha kujua au kugundua ni kwamba hiyo ilikuwa ni tabia yake kwa muda wa miaka 14 ya kuvuta." Nilipoamka, nilichukua sigara na nikajisikia kama nimechanganyikiwa. Sikujigundua hata kuwa nimechukua hiyo sigara kwaajili ya kuvuta. Niliona kama sumu"

One of Nollywood’s rising actresses, Tonto Dikeh, revealed in an interview that she was delivered from an addiction to smoking through praying along with Prophet T.B. Joshua on Emmanuel TV. Glory be to God!According to Tonto, who started smoking at the tender age of 13, she joined Prophet T.B. Joshua to pray on Emmanuel TV and received the miracle in a way she never expected.

She told a Nigerian entertainment magazine, “I didn’t quit smoking by myself. I was watching a program on TV with Prophet T.B. Joshua and he was laying hands on people and praying for them. I love to watch his programs on Emmanuel TV. When he was praying, he said, ‘Lay your hands on the TV’ and I just laid my hands that day. I actually needed something else from God, not to quit smoking because I loved smoking! However, after praying I sat back and I think I slept off.”After the prayer, Tonto woke up and attempted to smoke as usual, only to discover that the very habit that had been part of her for 14 years suddenly became revolting. “When I woke up, I took a stick of cigarette and I felt crazy. I couldn’t even imagine that I took it up to smoke in the first place. It felt like poison!”

Mtafsiri: Rulea Sanga (+255 715 851523)

Sunday, August 26, 2012

MSIBA WA KANUMBA VILIO UPYA

MSIBA wa aliyekuwa staa wa muvi za Kibongo, Steven Kanumba umeanza upya kwenye Kijiji cha Izigo, Muleba, Kagera baada ya mama mzazi wa marehemu, Flora Mtegoa kuupeleka msiba huo huko sanjari na mchanga wa kaburi la Dar.
Akizungumza kwa masikitiko  makubwa, mama wa Kanumba alisema tangu kifo cha mwanaye hakuwahi kupeleka msiba kijijini kwake kama mila na desturi zinavyotaka.
Aliongeza kuwa hiyo yote ilitokana na kukosa muda kwani licha ya mazishi, bado watu mbalimbali kutoka nje na ndani ya nchi walikuwa wakiendelea kumiminika nyumbani kwake kwa lengo la kumfariji.
Alisema kuwa alipofika Kagera, alipokelewa na umati wa waombolezaji na msiba ulianza upya, jambo ambalo hakulitarajia.
“Nilipofika kijijini nilipokelewa na ndugu, jamaa na marafiki, kwa kweli msiba ulianza upya. Sikutarajia, watu walilia na kuomboleza,” alisema mama Kanumba.
Akaongeza: “Kwa kweli kutokana na hali ilivyokuwa, hata mimi mwenyewe nilijikuta nalia sana. Nilihisi siku hiyo ndiyo mwanangu alifariki dunia rasmi kwa jinsi watu walivyokuwa wakiomboleza.
Akaongeza tena: “Ilibidi tufanye mambo ya mila na desturi za Wahaya zikiambatana na kuzika mchanga niliouchota kwenye kaburi la Dar (Kinondoni).
Mama Kanumba alisema anamshukuru Mungu walizika salama (mchanga) na kwamba muda si mrefu alitarajia kurejea jijini Dar kutoka kwenye msiba huo.
 “Namshukuru Mungu tumezika salama kwa kweli, mimi mwenyewe naendelea vizuri huku nikinywa dawa za Kihaya, nakaribia kurudi Dar hivi karibuni,” alisema mama Kanumba.
Steven Charles Kanumba alifariki dunia Aprili 7, mwaka huu jijini Dar es Salaam kwa madai ya kusukumwa na Elizabeth Michael ‘Lulu’ ambaye anashikiliwa na vyombo vya dola.

MFAHAMU HALIMA MDIWA(AUNT SUZY)

A.K. A: Aunty Suzy
UMRI: 25
KABILA: Mpare
KAZI YAKE: Uigizaji
MAKAZI: Kinondoni, Dar.
AMEPATAJE MAKALIO HAYO?
“Yaani ukiniuliza nimelipataje wala sina jibu kwa kuwa nimelishangaa linakuja tu tangu nikiwa mdogo. Mbaya zaidi mama yangu yuko kawaida tu, siyo mnene.”
USUMBUFU ANAOKUTANA NAO
“Umbile langu linanifanya nawakimbie wanaume, kila nikipita mara huyu kanikonyeza, mara huyu kananiita, yaani ni usumbufu mtindo mmoja.”
ANATAMANI KUPUNGUA
“Mimi natamani sana kupungua ndiyo maana natumia dawa za kupungua na kufanya mazoezi, ni kero sana.”
KUHUSU MAVAZI YAKE
“Napenda kuvaa nguo zinazonipendeza ila mara nyingi navaa zinazoficha kalio langu ili wanaume wakware wasinisumbue.”
SAIZI YA NGUO YA NDANI
“Kwa kweli sijui navaa saizi gani.”

HAPPY BIRTHDAY ODAMA

Mungu na akulinde na mabaya yote. 
Ruma Africa iko kariakoo kukutafutia mbeleko ili imsaidie mama kukubeba.

Fanya yaliyo mema siku ya leo kwani ni "Special" kwako

MAONI YA WADAU WANGU

No comments:

Post a Comment